Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae:
Muislam
Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
Mrefu wastani
Mstaraabu na mcheshi
Ukiwa na watoto sawa
Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto...
Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka.
Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake. Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na...
Mods, hili sio tangazo na wala mimi sio mganga wa kienyeji bali nafahamu mitishamba inayoweza kumfanya mwanamke ashike ujauzito, hivyo naomba msiufute huu uzi muhimu kwa WATANZANIA. Wakuu, kama...
Kuna bibie nilikua namtafuna hapa,sasa usiku kucha alikua analalamika eti uume wangu ni mkubwa sana.
Sasa naomba kuuliza ,uume mkubwa huwa unaanzia size gani
Wanaume wa dasalama nani kawaroga inakuje unalipa litita cha 50k kwenda kumsikiliza mwanaume ambae alinyimwa papuch kwa wiki mbili mpaka aliponunua simu ndo siku hiyo akaonjeshwa papuch?
Mengine...
Mapenzi ila ni mazuri kama ushafikia malengo yako. Kuna rafiki yangu ambaye alikuwa akinieleza, kuwa tangu azaliwe hajawai shiriki mapenzi na saivi yupo 23yrs
Siyo kama hana marafiki wa kike...
Yani, waamasai ndilo kabila lenye wanawake wenye heshima, na ukioa mmaasai atakuheshimu kweli kuliko ukikimbizana na wachaga wasioelewa somo. Mimi naona bora mmasai kuliko mchaga...
Yani uyo mwanamke kakaa kijanja anajua kwa madhaifu aliyonayo ukimfunua tu mara moja utotaka kurudia tena ndo maana anakunyima iyo ni defensive mechanism yake
Mwanamke anayejiamini na uanamke...
Binadamu amekuwa na vitu vyake anavyovipenda sana na vingine kuvichukia sana. Vipo anavyovipenda kidogo na vingine anavichukia kidogo, lakini vipo ambavyo hajui kama anavipenda ama anavichukia...
Kichwa cha Uzi: Jinsi ya kutongoza wanawake ( mbinu za ndani sana hakuna mwanamke atakataa )
kabla ya kuanza kuandika na kushusha nondo naomba radhi kwakua siku za karibuni sikwepo sana online...
Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt...
Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina...
Njoo...
Hivi sasa kinachoendelea huko mitandaoni ni kelele kwamba Mheshimiwa flani kaachana na mke wake baada ya DNA kuonyesha mtoto si wa kwake,
Hakuna chanzo rasmi kilichothibithisha kwa uhakika kama...
Kibaka akitaka kumwibia mwanamke, kwanza kabisa ataangalia kama ameongozana na mwanaume.
Muuza magari akitaka kumuuzia mwanamke gari bovu au kumpiga kwenye bei, ataangalia kwanza kama yupo na...
Watu wengi sana wanatumia huo mfumo, maana hakuna gharama, n kuvuta tu la kwako bila yeyote kujua. Hata mimi nimesogeza la kwangu, hatatujamaliza wiki mbili tumeachana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.