Ndoa Ina gharama yake kabla ya kuwa ndoa wanawake wengi hawalipi hio gharama at first baadae wanapostuka wanataka kufanya janjajanja wanaishia kupigwa tu na wengine kuishia kuwa single mother...
Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original...
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity...
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea...
Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake )
amefuma meseji zake akimpiga...
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Wanawake warefu weupe kwa huku ni nilipo ni adimu sana.
Unaweza kumkuta mrefu ila mweusi, mweupe ila mfupi ama lah ni mweupe na anaonekana mrefu...
Nipo hapa kwa mchepuko wangu, ameniomba angalau nije nile pilau la sikukuu hapa nyumbani kwake.
Baada ya kufika hapa kwake, amenipokea kwa bashasha sana; baada ya kufika mlangoni tu...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,
Nina jambo linalonisumbua kwa muda mrefu sana, kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani.
Mimi nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye...
Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?
Ama kweli, pisi kali...
Wanajamii tuelekezane mbinu za kivita za kumpata Mrembo, mzuri wa sura mpaka shepu unaweza fikiri amechorwa. Tunampata vipi ikiwa yeye hakutaki na hataki hata kuona meseji zako
Tufanye huna pesa
imeandikwa na Luqman Maloto
Source: Facebook page ya Luqman Maloto
KIFO cha Dk John Magufuli na kuingia madarakani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Karma au Fate? Nimeanza na swali.
Karma tafsiri...
Jana usiku wa saa 4 nipo zangu mezani nakula akaja mkewangu ananiomba namba ya mpangaji wetu kijana wa makamo ambaye kiumri tunaelekea kulingana na kazi yake ni udereva wa bajaj, nikamuuliza namba...
Yaani ni hivi ngumi au kofi la mkono wangu sitaki vimguse sababu hataweza kuhimili,
Story iko hivi jana asubuhi nimefika nyumbani baada ya kutoka ofisini ninapo lalaga kwa ajili ya usalama wa...
Hapa MMU naona kuna wadau hasa wanaume wenzetu wanajifanya wajuaji sana kuhusu maisha, watoto, mapenzi na ndoa.
Wengi wameenda mbali na kusema eti bora kuwa na watoto kutoka kwa mama tofauti...
Kwenu mashemeji...
Hadi sasa hajatokea bado mtu wa kuivunja rekodi ya mashemeji kwa upambe, mashemeji ni wapambe sana yani ni wapambe nuksi. Halafu tabia zao zinavyofanana unaweza kudhani...
Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k
Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake...
Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania.
Nina dada yangu...
Wanaume wenzangu hii code nawapa utakuja kunishukuru siku nyingine. Jaribu kuishi mbali na ukweni kupunguza mambo madogo madogo yasiyokuwa ya msingi.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums...