Natafuta mchumba tuelekee kwenye mipango ya ndoa

Loman

Member
May 19, 2019
30
30
Habari wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto. Naamini somewhere out there pia kuna mabinti wengi tu wastaarabu kabisa ambao wanatafuta mme mwema ambae watafungua nae ukurasa mpya wa maisha ya ndoa hatimaye wajenge familia, tatizo tu linakuwa how you two get connected.

Sifa za binti.
Umri: 22- 28 yrs
Dini: Muslim
Elimu: Certificate or Diplomal, ukiwa graduate is an added advantage.
Kabila: Lolote, sio ishu sana kwa dunia ya leo
Ajira: Uwe na ajira, au ni mtu ambaye unaweza kuajirika.
Huna mtoto.
Nafikiri sifa nyengine uta zifaham zaidi kadri tutakavyo fahamiana.
Kama una hisi una sifa hizo na upo serious, karibu PM tafadhali. This is a serious Note, jokes aside please.
 
Dogo naona unatafuta mke wa kukupikia futari...umechelewa ..lakini all the best
 
Back
Top Bottom