Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini...
Hello ladies nahitaji mwanamke mwenye umri unaonzaia 35 na kushuka hadi 20
Alieserious anicheki inbox
Umri wangu miaka 37
Elimu yangu Master degree
Awe anajitegemea kiuchumi sio mpiga vizinga...
My real name is George.
Naishi Magoneni Mikumi.
Nimeajiliwa katika organisation moja hapa Mwenge.
Kwa sasa kwa kuwa niko home due to
Covid-19 lockdown i need female friends to chat with...
Mie ni kijana mwenye miaka 29, elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu nafanya kazi katika shirika natafuta mke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe mrefu mweusi mwembamba kiasi
2. Awe mkristu wa...
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.
Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda...
Tunaishi kwenye nyakati za sayansi na technologia inayo rahisisha maisha kwenye nyanja zote zikiwepo kiuchumi na kijamii. Nina imani kupitia technologia ya mawasiliano naweza kupata mke mzuri, mke...
Nawasalim,
heading yangu inajieleza wapendwa.
Kwa kifupi,
Umri wangu ni 32
Mkristo
Mfanyakazi
Elimu ni degree.
Haja ya moyo wangu,Natafuta mdada awe ubavu wangu ili tutengeze familia bora.
Sifa...
Habari wana Jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke ambaye anayehitaji kuwa mke kwa dhati awe serious kwa kweli.
Awe muislamu asizidi miaka 35,huduma zote kama mke...
Napenda kutoa Salam zang za dhat kwenu wanamemberz wa JF,,na Allah (mwenyezi MUNGU)atuepushe na janga hili la Corona....
Nkirud kwenye mada...naam
Mm ni kijana umri miaka 20,,npo DSM nasoma...
Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa...
Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia.
Umri...
Mambo vipi wapendwa wa love connect?
Leo nimekuja na hoja moja inayotatiza kichwa change
Huwa tunaambiwa kuwa wanaume ni wachache kuliko wanawake , tena wengine wanaenda mbali kusema kuwa ni kama...
Just casual, no sex, no strings attached.
Just looking for an outgoing lady interested in travel, hiking, swimming and food.
Like tommorow I'll hook up wit some friends we are going to saa nane...
Hello wanajukwaa,
Mimi ni mwanamke wa miaka 31
Nina mtoto mmoja
Ni mkristo
Nimeajiriwa
Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari.
Awe mkristo
Awe na miaka 33 -40
Awe na kazi...
Habari zenu
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi dar es salaam.
Natafuta mke wa kumpenda na kujenga familia nae.kwangu naona huu ndio wakati sahihi wakuanza kujenga familia.
Kwanini natafuta...
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mke mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext pm kwa maelewano na maelezo zaidi umri asinizidi miaka mitano..
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.