Natafuta mchumba wa gate kali/mambo safi

MISAPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
68
Points
95

MISAPE

Member
Joined Nov 28, 2012
68 95
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA KABILA,AWE SERIOUS,AWE TAYARI KUPIMA VVU NA MWENYE MAPENZI YA KWELI,UTANI SITAKI

SIFA NA MAISHA YANGU KWA UFUPI
MIMI MAJI YA KUNDE,MREFU,MWEMBAMBA,SINA MTOTO,MFANYAKAZI AGENCY FULANI YA SERIKALI,PIA NI MWANAFUNZI CHUO FULANI HAPA DAR ES SALAAM NACHUKUA DEGREE YA ENGINEERING,KIUCHUMI KIASI FULANI NAJIWEZA,NIMEPANGA NAISHI PEKE YANGU SINA NYUMBA LAKIN NINA KIWANJA MBEZI MPIGI MAGOE,NINA GARI MOJA NDOGO YA KUTEMBELEA
NARUDIA NIPO SERIOUS UTANI SITAKI MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA,MWENYE SIFA TUWASILIANE KWA PRIVATE SMS OR KWA EMAIL kiss22love@gmail.com kila sms au email itajibiwa
nawasilisha.
 

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,183
Points
2,000

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,183 2,000
mmh mapenzi ya siku hizi ya kichina kweli " eti vigezo na masharti kuzingatiwa!!!!!!" haya kila la heri katika searching
 

Forum statistics

Threads 1,389,124
Members 527,846
Posts 34,017,604
Top