Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari za humu ndani wanajamvi, Mm ni bint mwenye miaka 28 natafuta mwanaume atakaekua mume wangu kama tutafikia muafaka huo. Sifa zangu Mkristo nilieokoka nampenda Yesu Miaka 28 elimu diploma...
13 Reactions
154 Replies
12K Views
Wapendwa Najitokeza tena kwenye jukwaa hili, kuchukua hii fursa ya kujitafutia mwenza aliyeko tayari kuanza maisha; sifa zangu; Nina umri wa miaka 39 Sijawahi kuolewa wala sina mtoto Naishi Dar...
14 Reactions
108 Replies
14K Views
Habar zenu wadau,, Mim sio muandishi mzuri sana ila nimekuja hapa natafuta rafiki wa kike,,, mimi age yangu 28yrs mbishe zangu nafanyia dar es salaam nmeajiriwa kibishi,, rafiki age yoyote ile...
1 Reactions
1 Replies
620 Views
  • Closed
Am a Tanzanian Woman. Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi. Mimi Nimetengana na Mume wangu. Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya...
69 Reactions
901 Replies
218K Views
Natafuta mwanamke nitakayedate naye hadi tujenge ndoa. Nipo Chuo mwaka wa Mwisho Umri awe kuanzia miaka 18 adi 24, awe mwenye hofu ya Mungu, mkweli, ni vizuri awe Dar es Salaaam Namba za simu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hi I am Jophy, Christian, 29yrs of age, degree holder and I am at Dodoma doing my staff. I am looking for girlfriend who is not occupied, God fearing woman, Confident very focused and lovely one...
1 Reactions
4 Replies
755 Views
Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu Umri: 34 Dini: Christian Kazi : mwajiriwa ( Government) Elimu:Degree Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo: Umri: 34-47...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Nina umri wa miaka 24, natafuta mchumba wa kike alioko serious wa kuanzisha mahusiano, awa mrefu kiasi, maji ya kunde au mweusi, umri 19-22, elimu kuanzia form four, awe mkweli na mwaminifu, in...
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Habari wana JF natafuta mchumba wa kike Sifa 1 awe mkweli kweny mahusiano 2 mchapakazi 3 mcheshi 4 awe na elimu ya kujitambua 5 maji ya kunde mrefu kidogo sio mnene san 6 awr dar es salaam...
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Zingatia umri hapo juu. Nahitaji mpenzi ambaye tukiendana tutaoana, sifa awe mweupe maana mm n maji ya kunde kwahyo tuchanganye rangi, awe mrefu au wastani. Awe tayari kupima afya, pia awe tayari...
0 Reactions
4 Replies
885 Views
Habari Natafuta msichana wa kuwa naye. Vigezo:- 1. Awe amesoma diploma or degree 2. Umri miaka 20-25 3. Muislamu 4. Mkazi wa Dar es Salaam 5. Mrembo Umri wangu ni miaka 28. Ni Electrical...
1 Reactions
1 Replies
750 Views
Sifa zangu nina umri wa miaka 32 nmrefu wa wastan mweusi, mpole, nina mtoto 1 wa kike ana miaka 6 nimejiajiri mwenyewe mwanamke ninayemhitaji sifa zake rangi yeyote, mrefu kias muelewa awe...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke ambae ambae tutafikia hadi kuoana na kuishi kwa amani Sifa Awe na umri kuanzia 23 hadi 29 Awe muislam Awe na hof na mungu NB: Rangi na kimo sivipi kipaombele. Sio lazima awe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sifa za mwanamke 1 Umri 20-24 2 Elimu kuanzia form 4 3 kabila lolote 4 asiwe na mtoto 5 Asiwe mfupi Sana, yaani urefu wa wastani au mrefu kabisa 6 Rangi iwe ya Maji ya kunde au mweupe 7 Awe tayari...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Habari wapendwa! Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu...
10 Reactions
78 Replies
18K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu...
21 Reactions
128 Replies
26K Views
Natafuta MKE wa kuoa,awe mrefu,maji ya kunde au mweupe,mkiristo,mpenda maombi,awe na hofu ya MUNGU,awe anajua kusoma na kuandika,umri kwanzia miaka 21 hadi 31
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Habari Mimi ni mwanaume wa miaka 52,"Nipo single"Na sijawahi kufunga ndoa katika maisha yangu. Ni mrefu wa centimetres 170(futi 5 na inchi 7), Rangi yangu maji ya kunde, Kwa umbo ni mwembamba...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini wa JF? Natumaini hamjambo. Najitokeza kwenu leo katika jukwaa hili nikiwa na uhitaji wa mwanamke atakae kuwa tayari kuingia nae kwenye ndoa. Nina umri wa miaka 27 kwa sasa na mtoto...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu watu wote! Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile) Umri kuanzia miaka 40+ Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…