Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.

AmKATRINA

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
414
366
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
 
Am 27 na mapenzi nayajua kweli, nime graduate mwaka juzi chuo ila nataka wewe ue wa pembeni na mimi niwe na mke wng kama kawaida ili niendeleze kizazi changu.
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.

Je huyo kijana utamruhusu aoe mke atakayemzalia watoto? kama utamruhusu uko tayari kumsaidia kulea hao watoto wake?
 
Watu umri umesonga lakini bado wanataka kurudia au kucompete na vijana..duh.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom