Natafuta mwanamke wa kuoa

Deportivo la coruna

Senior Member
Aug 16, 2021
141
248
Habari
Kwanza kabisa naomba namimi nijiunge nanyi katika mtandao huu, nimeamua kua mzalendo, sio lazima kutumia mitandao ya wazungu tuu tunahitaji kutumia vya kwetu pia.

Niende moja kwa moja kwenye mada

Mimi ni kijana Mwanaume miaka 29, natafuta mwanamke wa kua nae na mwisho wa siku kuoa kabisa (Lengo ni Ndoa)

Mwanamke awe na vigezo vifuatavyo :-
*Mkristo
*Umri usizidi miaka 33
*Awe na kazi ( kujiajiri/kuajiriwa sawa tuu)
"Akiwa mwalimu wa secondary/Primary itapendeza zaidi"
*Asiwe amewahi kuzaa (kua na mtoto/single mother)



Mimi
*Miaka 29
*Mfanyabiashara
*Mkristo
*Sina mtoto
----------------------------------------------------------------

Wadada mlio serious nawakaribisha sana

Asanteni
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom