Natafuta mwanamke Mmakonde aliye Dar

Mallibbotty6

Member
Jun 17, 2016
14
12
Mimi ni mwanaume

Kabila mmakonde

Miaka 31

Makazi Dar.

NAHITAJI MWANAMKE:

Kabila Mmakonde

Makazi Dar

Umri miaka 20 hadi 27

Aliye tayari aje PM
 
Jamaa hawanaga hiyana!
Hawajui kukataa kama wale wa Singidani na wale wa Manyara!

Wanamsemo wao wanakwambia “ kunnyima ntu dhambi “
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom