Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
Umri wangu: 38
Jinsia: Dumesimba
Kazi: Body builder
Location: Dar es salaam
Dini: Mbudha
Sifa za binti naemtafuta
Umri:16+
Jinsia: Jikeshupa
Kazi: Yoyote
Location: Popote
Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu.
Mimi ni mwanaume wa miaka 36
Mrefu - maji ya kunde
Sio mnene...
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia...
Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu.
Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika.
Nimepanga geto nalipa kodi...
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu.
Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora...
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni...
Habari wana JF
Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha.
Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri...
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔
Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu...
Habari,
Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi, am very focused
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiriwa
5. Ninaishi Kilimanjaro
Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe...
💃🏻MDADA AWE:
♥️ Awe 18 - 40
♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba
♥️Alifundwa usichanani
♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.