Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar. Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu,naombeni kama utakuwa interested na mada tajwa hapo juu basi naomba tuwasiliane pm, wakati mwingine nakuwa bored, nina stress nikipata angalau mwanamke wa kuniliwaza nitafurahi sana...
6 Reactions
14 Replies
319 Views
Kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ? Lakini katika maono ya siku...
6 Reactions
24 Replies
433 Views
Natafuta mwanamke wa kuoa awe Muislam Awe anajistiri Manhaj salafi Miaka 19-23 Ajue kupika mapishi ya kawaida tu Ambae hajawahi kuchakatwa Umri wangu 25 Kipato kipo Cha kawaida (uhakika)...
4 Reactions
8 Replies
579 Views
Umri miaka 28, mwanamke, dini mkristo. Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37. Dini yoyote. Mweusi/maji ya kunde. Awe muajiriwa. karibu pm ukiwa na picha Yako. Asante.
18 Reactions
106 Replies
5K Views
Nimekuja mkoa wa Kilimanjaro kusherekea Sikukuu yangu ya Kuzaliwa. Huu mkoa una warembo sana, nimekaa Moshi mjini vijijini na Arusha balaa. Jisafirishe mwenyewe urudi na mtu.
9 Reactions
13 Replies
740 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
7 Reactions
87 Replies
1K Views
Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa...
34 Reactions
2K Replies
234K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu. Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke...
4 Reactions
115 Replies
2K Views
Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae: Muislam Kuanzaia miaka 34 na kuendelea Mrefu wastani Mstaraabu na mcheshi Ukiwa na watoto sawa Aijue dini kiasi *Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta...
7 Reactions
95 Replies
1K Views
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae ila kuoana hapana, awe tayari kupima HIV! Nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabaki kuwa baba mtoto na mzazi mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana. Awe sura...
19 Reactions
444 Replies
94K Views
Ndugu zangu hope mko poa.... mwenzenu natafuta mchumba wa kike😀😀 hapo nimeona niweke sawa maana kuna Vijana wa hovyo humu. Kama hapa yupo aje pm tuyajenge asante kwa kunisikiliza
5 Reactions
16 Replies
359 Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Mimi ni kijana mtanashati,,,Sina mambo mengi,,mpole,muelewa,mcheshi... Nahitaji RAFIKI WA kike umri wowote,,,KARIBU PM...tuyajenge
2 Reactions
9 Replies
559 Views
Seran Lamomy Fake P nakwede97 leo dada kazi kwenu changamkieni ndoa.
9 Reactions
58 Replies
669 Views
Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi Ajue kulea watoto Awe na...
2 Reactions
15 Replies
358 Views
  • Closed
Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu...
3 Reactions
12 Replies
576 Views
Maana upendo ndio kila kitu,msidharau mwenzako ila mpende kwa raha na taabu.Ili tuweze kuwapa vijana moyo wa kuoa maana wanaona n kama watateseka.
1 Reactions
6 Replies
119 Views
Back
Top Bottom