Habari
Mimi ni kijana mwenye miaka 30
Sifa zangu:
Rangi: Mweusi sio sana
Kimo: Mrefu wastani
Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech
Kazi: IT Support (Sekta Binafsi)
Mkoa kuzaliwa : Geita...
Wasalaam dronedrake
Natafuta mwanamke wa kuoa;
Awe na umri kuanzia 18- 28
Awe mrefu, 5+ feet tall
Awe amehitimu form six na kuendelea
Awe anapenda kufanya kazi
Awe Mwafrika, au mzungu...
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Karibu PM / Inbox nikupe...
Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu...
THIS BOY NEED SERIOUS RELATIONSHIP
IF YOU'RE INTERESTING CALL HIM
I share his message with JF members as he requested me
Male
Name: Idrisa
Age: 27
Kazi : biashara
Home: Kilimanjaro
Whatsapp...
Habari za mda huu wakubwa kwa wadogo,,,sipend kuzunguka mnoo nataka niende straight to the point,,,,natafuta mwanamke wakuoa umri tyr nshaandika apo juu,,,
Awe tayari kuishi mahali popote,awe...
Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe mkweli na...
Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke
Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui
Mimi pia naishi dar
Umri wangu...
Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo...
Mwanzo 2 : 21 - 25
1 Korintho 11 : 8 - 12
If really you want husband and build a happier family, your WELCOME.
NO hook up! Only for long-term relationship and establish a stable family together.
Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 ,
Dini yangu, ni mkristo.
Naishi DAR
Kazi yangu ni muajiliwa
Elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
Awe mkristo
Awe anaishi Dar
Awe...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana .
Sifa zake ziwe;
Awe umri kati ya 19-23
Muislam
Kabila lolote
Awe brand new (BIKRA)
awe na uzioto 48-56
Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.