Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
NATAFUTA BINTI WA KUOA. Email yangu natafutamke872@gmail.com Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi Urefu: 158 cm Umri: 30 Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha...
13 Reactions
267 Replies
8K Views
Hello Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -30yrs Mjasiliamali Mkristo Sifa za mke: Umri 27yrs na...
1 Reactions
1 Replies
356 Views
Wasifu wangu: -miaka ni 28 yrs -Elimu ni college -kazi ni mwajiriwa (sector binafsi) -Dini ni mkiristo Wasifu wa nimtakaye - atoke Kanda ya ziwa -elimu mwisho secondary -dini awe mkiristo OFfer...
1 Reactions
8 Replies
503 Views
Asanteni.
2 Reactions
6 Replies
559 Views
Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34, ninaishi Mbeya. Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 hadi 34, awe mkazi wa Mbeya na asiwe na watoto zaidi ya wawili. Awe tayari kuishi nami...
2 Reactions
24 Replies
873 Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
72 Reactions
293 Replies
21K Views
Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni. Nicheki pm
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi ni mama wa miaka 23 Niko Dodoma Kazi mtumishi Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
13 Reactions
81 Replies
3K Views
KWEMA WANAJUKWAA. Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli. Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni...
15 Reactions
314 Replies
5K Views
Hanari. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea ambaye atakuwa mke wangu. Awe mkristo na mwenye upendo. Pia asiye na familia kwa maana asiwe na mtoto. Ni PM namba Yako kama...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema. Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
12 Reactions
70 Replies
3K Views
Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After...
15 Reactions
74 Replies
2K Views
Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Naitwa John Umri wangu 28 Kabila msukuma Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Hello, Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi. Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na...
36 Reactions
236 Replies
16K Views
Back
Top Bottom