Nahitaji mchumba wa kuwa nae kwenye mahusiano

Tokiwa

New Member
Jan 18, 2023
3
5
Mimi ni kijana wa kiume
Sifa zangu
Umri miaka 28 nipo mbeya
Elimu degree
Mtumishi wa umma
Mrefu
Maji ya kunde
Naitaji mwenza wa kuwa nae kimahusiano na baadae awe mke wangu wa ndoa
Sifa za mwanamke awe
Na miaka 22-25
Awe na akili timamu
Elimu kuanzia kidato cha. Nne
Asiwe na mtoto
Karibu pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom