nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

mkulima 111

Member
Oct 22, 2012
26
6
jamani kila nikitembelea jukwaa hili sion post ya mtu anae hitaji mkulima! leo nafunguka nahitaji mke anae weza mambo ya kilimo!......... sifa awe na akili timamu..........umri kuanzia 25-38....Elimu kuanzi dalasa la 7 na kuendelea........akiwa na mtoto mmoja sio tatizo.... awe tayari kukaa bush....

kuhusu mimi..... nina miaka 40.... Elimu yangu nina digree ya kilimo ....nina mtoto 1... naishi Moro ...sina mke.... nakunywa pombe kwa usitarabu sio chapombe! namkaribisha atakae vutiwa nami ani pm
 
Mwe mwe mwe!! Utampata usihofu, hata kama analima shamba takatifu usihofu, kikubwa ni kilimo!
 
mimi nimekupenda sana.....hasa ulivyotaja mambo ya kilimo nikakumbuka mahindi ya kuchoma......wallah nakupenda wewe......na niko serious.......napatikana Yaeda.......
 
mimi nimekupenda sana.....hasa ulivyotaja mambo ya kilimo nikakumbuka mahindi ya kuchoma......wallah nakupenda wewe......na niko serious.......napatikana Yaeda.......
hahaa mahindi yapo! utachoma na utachemsha!
 
Duh!
Kiukweli mi kulima siwezi labda kama ni kwenda kuwasimamia vibarua shambani
 
daah sijuwi nikupe dadaangu! maana sifa zote hizo anazo ingawa yeye anapenda sana dini, wewe dini gani lakini?
 
Preta akishindwa kumeet vigezo tafadhali niko hapa. Najua kulima, kupiga haro, kupalilia na kuvuna kwa trekta tu. Kukaa bush haina shida ilimradi uniwekee jiko la gas na housigelo mmoja. Nina utaalamu wa kilimo kwa mbaali.
 
Inaonekana unapenda ready made eeh? Sasa kilimo kwanza si inabidi tufundishane? Manake choroko, mahindi, alizeti, migomba, kahawa, korosho kila kimoja kina masheriti yake tafauti.
kama hujuwi kulima hata kusimamia hutaweza maana
huwezi kusimamia kitu ambacho hukijuwi!
 
Dah..! Unanifaa sana wewe Mkulima..! Siku nyingi sijalima mpaka mikono inawasha..! Ni PM nije huko Moro nilime maana huku Magorofani nashindwa kulima..!
 
Preta akishindwa kumeet vigezo tafadhali niko hapa. Najua kulima, kupiga haro, kupalilia na kuvuna kwa trekta tu. Kukaa bush haina shida ilimradi uniwekee jiko la gas na housigelo mmoja. Nina utaalamu wa kilimo kwa mbaali.
hahaha wabongo mnapenda raha! jiko la gass lipo house gel
yupo ndie anae kaa na mtoto wangu! sasa nawe utataka wako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom