nifanyeje?

nifanyeje?

ndalibanyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
431
Reaction score
432
mke wangu amekithiri kwa uchafu nimesema mpaka nimechoka, naombeni ushauri ndugu zangu.
 
Mpe talaka tatu.

Kama kakushinda wewe uliyemtolea mahari, sie wenye majina feki tena asiyetujua tutamuwezea wapi.

Kama vipi mwambie ajiunge JF apate mafunzo rasmi toka kwa wanawake wasafi.

BTW, huo uchafu wake uko wapi? Manake nijuavyo mie hakuna K chafu. Kama ni uchafu wa nyumba au nguo, hata wewe una mikono waweza fanya usafi.

Ahsanta.
 
nimeamini hki ni kizaz cha nyoka duh!siri ya ndani na mkeo unaiweka barazani tunaenda wapi jamani mbona tunapoteza uhalisia aah!!!uchafu wa mke mtandaoni na ye akiwaambia mashoga zake udhaifu wake utasema hajafunzwa!
 
Asprini mhabarishe aje tumfunde siee,mwanamke usafi unukie maana ni pambo la ndani sasa harufu mbayaa mbayaa kama mapanki lazima yakushindee
 
Last edited by a moderator:
Mpe talaka tatu.

Kama kakushinda wewe uliyemtolea mahari, sie wenye majina feki tena asiyetujua tutamuwezea wapi.

Kama vipi mwambie ajiunge JF apate mafunzo rasmi toka kwa wanawake wasafi.

BTW, huo uchafu wake uko wapi? Manake nijuavyo mie hakuna K chafu. Kama ni uchafu wa nyumba au nguo, hata wewe una mikono waweza fanya usafi.

Ahsanta.

asante sana kwa majibu mazuri ubarikiwe... amina
 
usiwe muongeaji tu na wewe jitahidi uafanye usafi ili aone ajirekebishe .......
 
hahahahahahah!
akya ya nani vile
Mpe talaka tatu.

Kama kakushinda wewe uliyemtolea mahari, sie wenye majina feki tena asiyetujua tutamuwezea wapi.

Kama vipi mwambie ajiunge JF apate mafunzo rasmi toka kwa wanawake wasafi.

BTW, huo uchafu wake uko wapi? Manake nijuavyo mie hakuna K chafu. Kama ni uchafu wa nyumba au nguo, hata wewe una mikono waweza fanya usafi.

Ahsanta.
 
kama mchafu na wewe kua mchafu zaidi yake ataona kero atasafisha na kubadilika
 
Back
Top Bottom