Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Napenda na mi nitoke na mdada kama marafiki zangu walivo jiandaa wao, Yoyote aliye tayari Niombe kumuarika aje dar hata kama yuko mkoa Kwa aliye single tu karibu Kwa pm...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Za usiku wana MMU, Kiroho safiiiii,napenda nifunguke kwamba moyo umemdondokea and i feel something for mtajwa hapo juu, Money Stunna utakapoona huu u'thread basi uje utoe statement...
15 Reactions
652 Replies
56K Views
Salaam, Hapa ni mwalimu toka arusha natafuta mchumba wa kuoa, Umri usiozid miaka 26, Zaidi awe na kaz na heshima!
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Huwa kila mwaka tangu nibarehe hunikuta niko single au yuko mkoa now sina kabisaaaaa! Daaah majanga tupu! Company plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43, slimbody, maji ya kunde, nina urefu wa ft5inch7, kiukweli jamani natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea. Yule mwanamke ambaye ana shida...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Hey there, am 27 from dar once again looking for a wife, only i need is true love so any one who wish to communicate with me who in need, ma phone is 0655601779, thanks welcm
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Hivi mwanaume anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila mpenzi? Tusaidianeni jamani manake mi nashangazwa na kidume ulokamilika kukaa kipindi chote hicho bila kuwa na "mtoto"...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Awe wa jinsia yoyote,ila si mchumba kwakua siitaji kwa sasa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
[emoji218] [emoji219] [emoji218] [emoji202] [emoji203] [emoji12]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa Manlax nipo Kahama-Shinyanga, nina miaka 28 sasa, ni mtanzania halisi natafuta marafiki wa kike wenye asili ya kiarabu na wahindi kati ya miaka 18-24, nimefikia kutafuta matrafiki wa...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
yeyote aliye tayari kunipa kampani, mm natokea dar nakuja maeneo hayo. ili aweze nitembeza jj
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nafikria sana kwa nini wanaume wenye malengo ya kuoa wanapowafata wanawake kwa lengo la kuoa huwa wanakataa na baada ya kutendwa wanakuja na kusema kuwa wanaume sio watu kabisa na tusiwaamini...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Hello everyone, Iam Colins,29 yrs male,Dsm. Iam friendly,fun,charming,easy to get along with,honest and genuine. I work. Looking for friends,those i can talsocialize and share experiences. I enjoy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina miaka 21,natafuta mchumba(16-20),awe na mvuto.kabila lolote MAWASILIANO: 0759362775 Facebook:youngdenny Denis George.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina miaka:21 natafuta mchumba wa kihindi, VIGEZO: Awe mrefu kiasi Awe na miaka(16-20) Asiwe mpenda pesa cont:0759362775
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
.YDYUF
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Wana JFsalama mimi ni mwanaume nilie kamalika Natafuta msichana wa kunipa raha nitakapo muda wowote ila sio kuoana siitaji kuoa naitaji mapenzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mke mwema.natafuta mke mwema lakini mwenye mvuto.anayejiamini kwamba ni mrembo sana but mwenye tabia njema ni pm nw.mm nina degree mbili za biashara.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii kwaaliyetayali nahitaji mtu wakuoa mm naumli miaka 24 yeye awe namiaka kuanzia 18-24 kwaaliye tayali tuwsiliane 0713281459 au emeli Tobiasaloyce@gmail.com sms zitajibiwa
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Back
Top Bottom