Wanstechnical
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 266
- 225
Hivi mwanaume anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila mpenzi?
Tusaidianeni jamani manake mi nashangazwa na kidume ulokamilika kukaa kipindi chote hicho bila kuwa na "mtoto"...