Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Habari wana-MMU na Love Connect,
Mimi ni kijana mtanzania,natafta mwanamke ambaye nitaanzisha nae mahusiano ya kimapenzi ambaye baadae atakuwa mchumba wangu na Mungu akijalia tufunge pingu za maisha na kuanzisha familia.
Sifa zangu:
Umri - 25yrs
Elimu - Chuo
Kimo - Mrefu kiasi
Umbo - Mnene kiasi
Rangi - Mweusi
Kilo - 82kg
Kazi - Nimeajiriwa
Dini - Mkristu (Roman catholic)
Kabila - Mhaya
Sifa za mwanamke nimtakaye:
Umri - 23 mpaka 28
Elimu - Kuanzia kidato cha 4
Kimo - Asiwe mfupi mno
Umbo - Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Rangi - Yoyote lakini sio mweupe sana
Dini - Mimi sichagui dini ila napendelea sana awe mkristu
Kabila napenda lolote maana mimi sio mkabila kabisa na napenda watanzania wote.
Kuhusu kazi sio lazima ila awe na akili ya kujituma na mawazo chanya ya kufanya shughuli yoyote ya kuingiza kipato.
Mwanamke over-used haruhusiwi kabisa hapa.
Mlevi, mlafi na mtu wa club hapana mana hayo mambo yamenipita kushoto na siyapi kipaumbele katika maisha yangu.
Awe msafi wa mwili,mavazi na makazi,mimi muda wote napenda kuonekana nadhifu hata kama sina pesa.
Nipo serious na kweli nahitaji so kwa aliye tayari tuwasiliane via pm.
Avatar inayoonekana hapo ni picha yangu halisi.
Karibuni sana.