Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

permanides

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
12,423
Reaction score
15,208
Natafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina mshahara mzuri na posho. Waswahili , waarabu na wazungu kazi kwenu, pm zote zitajibiwa
 
Nenda badoo wapo wa kumwaga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
unataka mchumbaa au unatafuta msaidizi wa matumizii?maana naona unatangaza ufalme hapo.
 
aafu umesema uzuri kwani uzuri wa mwanamke upo wap?unaweza nifwafwanulia pulizi?
 
Yaan hatua moja itajenga nyingine, yaan rafiki na mwishoe mchumba, uzuri niliimanisha aspects zote za hilo neno "uzuri" the word beauty was not used in any technical sense, just the plain and natural sense of it
 
haya mkuu kila la heri.
 
Natafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina mshahara mzuri na posho. Waswahili , waarabu na wazungu kazi kwenu, pm zote zitajibiwa
Ninae mmoja ananisumbua kichwa, niPM nikupatie namba
 
unaonekana we ni ki andujee afu cheusiiiii

Wala, yaan uelewa wako unaujua mwenyewe, kwa sababu nimesema nataka mwanamke mrefu na mweupe ndio ukadhani Mimi ni mweusi na mfupi? Kwani mtu mfupi hawezi kuoa mfupi au mweusi kuoa mweusi? Please refine your thinking faculties
 
Mmmh........ Mshahara mzuri na posho!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom