Natafuta mpenzi wakike

Natafuta mpenzi wakike

Hayo mapenzi ya kweli unayapimaje? Je wewe una mapenzi ya kweli? Mbona umeweka pesa mbele.

Tiba
 
njoo ulete tangazo hapa msikiti ushirombo watatangaza mchana kutwa na alfajiri pia
 
Mazinzi bhana yaan limekosa huko mtaan linakuja jf.nenda kambi ya fisi dar au arusha mrina utapata mke mwema na anaekufaa.
 
Mbona jina lako lenyewe la kike tena unataka mwanamke au unaleta mambo yaliyokataliwa uganda hapa jf
 
Siunajua mapenzi ya sasa bila mshiko tunadanganyana
 
Na hata vishawishi vingi huwayumbisha wasio na pesa kwani rahisi kushawishika ha ha haaaaaa
 
Tatizo naogopa kupigwa vizinga siunajua wadada zetu wasiku hizi@ tiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom