Habari za majukumu ndugu zangu,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume wa miaka 27,
Elimu ya shahada (degree) bado sijapata kazi,
Mchaga,mrefu,mweusi maji ya kunde,mkristo safi(lutherani),
Nipo Dar...
Je wewe ni msichana mrembo?
Una umri wa miaka 24-30.
Je wewe ni mcha mungu?
Kama unajiamini tuwasiliane kwa wandwib@yahoo. Com.
Nipo serious mimi ni mwalimu.
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume mwenye elimu ya chuo (degree) bado natafuta ajira ya kudumu,ninaumri wa miaka 27 yrs nw,ni mrefu na mweusi wa maji ya...
Seriously lookin for a aged girl 20-28 yrs teacher, anaweza kuwa mwalimu wa primari au sekondari kikubwa awe na uelewa mkubwa na mwenye uwezo wa kukatua matatizo, pia awe mwenye uchungu na maisha...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kabila langu ni mhaya.elimu chuo kikuu,ninafanya kazi na kuishi zanzibar ,Natafuta mwanamke aliyetayari kuwa mke mwenza,awe na sifa zifuatazo;
1.Awe...
Hi!
Wewe ni binti mrembo na upo Dar? Basi fursa imekuangukia leo ya kupata kijana mtanashati kwa ajili ya sex partnership.
Kwa wenye sifa zifuatazo ndio watapewa kipaumbele:
1. Umri uwe...
Nimekuwa nikiona au kusoma post za wana JF mara natafuta mchumba mara natafuta sugar mamii mara natafuta msichana wa kuoa anaejitambua hivi uwa mnapata kabisa na mnafikia malengo ya kuoana nitoeni...
hallow wana JF
Najitokeza kwa mara kwanza hapa JF kutafuta rafiki wa kike ambae baadae atakuwa mke wangu,mimi nina sifa hizi
-umri wangu ni miaka 35
-urefu ni cm 168
-siyo mwemba siyo mnene ni...
Mimi ni mwanaume naishi Arusha, najitokeza kutafuta mchumba wa kike(mke) ambaye yupo kwenye mikoa tajwa hapo juu(arusha, moshi na manyara) ili tuweze kuonana kwa urahisi.
SIFA ZANGU...
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe...
Habari wakuu!!
Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano..
Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika...
Naomba uwe rafiki yangu haijalishi
umri,kabila,dini,jinsia wala mahali ulipo
mimi nitaanza kukupa wewe faida ya
urafiki wetu ni check whats up 0759 83 93 10.
KARIBU SANA
Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu fani ya sociology miaka 2 iliyopita, jinsia ni mwanaume, sijabahatika kupata ajira bado. Nafafuta mwanamke atakaye kuwa mchumba na baadae mke mwenye vigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.