Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Wadau mtakumbuka siku chache zilizopita nilileta hapa ombi langu la kutafuta mchumba wa kike aliye-tayari na aliye serious, sasa nasikitika kuwa hadi sasa sijampata ila kufuatia tangazo lile hiki ndicho nilichoki-experience,
Misrepresentation-Kuna binti mmoja yeye alisema kuwa ni mfanyakazi tena doctor kasoma bugando na sasa ni daktari katika moja ya hospitali hapa Mwanza, lo!! baada ya kuonana naye ndo akaanza kusema, "Samahani kwa kukudanganya mimi (yaani yeye ) si daktari ila amemaliza certificate so akasema amenipenda sana na yupo tayari kuwa na mimi" kaa! kwanza hapo nikamvumilia tu na tayari nishaagiza vinywaji vingi tu tukawa tunakunywa ila hajui yangu ya moyoni nivyochukia kwa "Misrepresentation yake" nikamfariji pale na kumuonyeshea kuwa tupo pamoja baada ya vinywaji tukaagana pale ndo akaanza kunitumia sms, "nimekupenda sana dear please am ready to be with you" mara ohh!! samahani kwa kukudanganya ila ni shida tu!! HUYU nikaamua kumpotezea kabisa kwa kutokuwa mwaminifu na mkweli katika first stage.
Wa pili akasema kuwa yeye ni mkristu tena anaitwa N........A, Mara baada ya kuonana bar moja hapa mwanza, ndo akaniambia kuwa yeye ni mwislamu maana alikuja amevaa zile zao.....ushu...Khaaa!!! Why this? nikasema anyway ngoja tunywe kwanza vinywaji hapa tukimaliza kila mmoja aende zake, naye akasema nimekupenda sana ila am so sorry kwa kukueleza vile, nikasema haina shida hilo swala ni dogo sana, hajui kuwa moyoni nimechukia sana....any way...tukaachana pale kila mmoja akenda zake...
Sasa natoa last chance, Jamani kama hua hivi vigezo acha.....Nahitaji mchumba wa kike aliye na kazi, elimu kuanzia form 6 na kuendelea, awe na umri wa miaka kuanzia 18-25 mkiristu na awe serious katika hili.
Mimi nipo naishi mwanza, nafanya kazi hapa mwanza, elimu yangu Chuo kikuu, miaka 27.