Habari wana Jf, Mimi ni kijana wa kiume, Nina miaka 28, naishi Dodoma! kabila langu ni msukuma, nina elimu ya chuo Kikuu na pia nimeajiriwa! Natafuta mpenzi/ mchumba mwenye sifa zifuatazo; umri 21...
Mimi ni kijana ninaeishi arusha na ni mwajiriwa wa serikalini, najitokeza kwa mara ya pili kutafuta mwanamke ambaye tutaanza maisha na kuwa kama mke na mume;
sifazangu
elim...............cho kikuu...
Mimi wasifu wangu ni kama ifuatavyo
-umri wangu miaka 34
-ni mwembamba, mweusi na mrefu wastani
-elimu yangu ni shahada ya kwanza
-nimejiajiri mwenyewe.
- mkristo naishi Dar
Natafuta mdada...
mi nipo hapahapa moro,ni handsome 24 years na i wish to have mtoto mmoja wa kike mzuri umri kuanzia miaka 18-24 wa hapa hapa tufahamiane tukipendana tuwe wapenzi,aliye seriouz ani pm tufahamiane...
Mie ni kijana wa miaka ishirini therathini sas, natafuta mwanamke mtu mzima tufanye maisha, ninaishi mwanza na nina elimu nzuri na pia kazi . yoyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kupitia namba...
Nategemea kutoka nje ya nchi, kama kuna mrembo yeyote aliefunga chuo anataka kula bata likizo ani PM. Awe na passport na mrembo, mweupe au maji ya kunde
Jamani mwenzenu upweke umenichosha, natafuta mwenza wa kuishi nae.
Ni mama wa watoto wawili, umri wangu miaka 36, elimu yangu ni shahada ya uzamili, muislamu na ni muajiriwa wa serikali...
Katika pitapita zangu zooote za miaka kadhaa nddani ya JF nilikuwa najiona mwenyeji kumbe kuna chocho sijawahi kuingia, sasa leo nilikuwa sina hili wala lile na sioni thread ya kuvutia nikaingia...
Naishi mwanza elimu yangu ni chuokikuu natafuta msichana mrembo na msafi awe na umri kati ya miaka 18-24 alieenda shule lakini pia awe ni mtoto wa kitajiri mkristo tuma ujumbe na picha via...
Habari,
Niko Sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa Sweden ama karibu tu na Sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia...
Kila siku naona matangazo ya kutafuta mchumba !
Je kuna waliowahi kufanikiwa kumpata atakaye??
Je waliwahi kuleta shuhuda humu na kuishukuru JF love connect!
Hebu fungukeni....
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
Natafuta msichana mrembo awe mchumbana twende kwenye ndoa.
Sifa. Awe mrembo.
Rangi yeyote.
Asiwe mfupi sana.
Awe na elimu kuanzia form four mpaka chuo kikuu.
Awe mkristo kama ni Muislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.