Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,
SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.
Ila kwa kifupi mimi ni...
Kuhusu mimi
mm NI MVULANA nina miaka 26 nimemaliza chuo kikuu mwaka jana bado sijaajiriwa
nahitaji marafiki wa kike tu wa kuchati popote walipo tanzania.
Sifa za marafiki wa kike ninao...
Ka uko A Town tusomane natafuta kiukweli demu wa kusukuma naye siku ili maisha yaendelee sina option yoyote 4 now kuwa nitafanya nini baadaye but now ni kula gud tym tu :D:D:D:D:D
Nina umri wa miaka 28, mtumishi wa serikali katika wizara fulani hapa Dar, urefu wangu 175-180cm, unene 75kg. elimu yangu degree holder, sura yangu maji ya kunde. Napendelea kuwatch football na...
kuhusu mm
UMRI;25
DINI;muislamu
ELIMU;chuo kikuu
MAKAZI; zanzibar
NATAFUTA M/ke mwenye sifa zufuatazo;
umri;18-22
DINI;muislamu
ELIMU; darasa la 7 na kuendelea(elimu ya dini muhimu zaidi)...
Kwa jina naitwa Kontelo,
Nina miaka 27.
Nimemaliza form 6 mwaka jana kwa bahati mbaya matokeo hayakuwa mazuri sikuweza kuendelea na chuo,
bado nipo mtaani najishuulisha na kazi ndogo ndogo...
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari.
Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
Habari wakuu,
Mimi ni mwanaume, nina miaka 37, nina watoto wawili, niliwapata katika mizunguko ya maisha, ninaishi nao.
Nilipanga kuwa na watoto wawili tu katika maisha yangu.
Kwa sababu hii...
niko serios nahitaji binti mweupe ,mrefu kiasi,mnene kiasi muajiriwa au amejiajiri kwa uhusiano wa kudumu,mimi ni mrefu kiasi , mwembamba kiasi,muajiriwa,maji ya kunde aliyetayari call me through...
Sifa zangu:mwaminifu,mchamungu,mvumilivu na msikivu,msafi,mtafutaj pesa wa kufa na kupona.mcheshi,kujali na kubembeleza kwa namna ya kipekee.napenda kudekewa.. umri;26...
Kwa sasa mimi ni kijana nina miaka 22 na hitaji mchumba ambaye tutaishi kipindi cha uchumba kuanzia sasa mpaka mwaka 2018 upweke umezidi kwa kweli.Mwaka 2018 nahisi nitakuwa nimemaliza kusoma na...
Mimi naishi moshi na nahitaji misichana/mwanamke atakayekuwa rafiki yangu
Sifa
napendelea awe na Umri kuanzia miaka 30 kwani Umri wangu ni zaidi ya hapo
awe anajishulisha (muajiriwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.