Mke mwema mtarajiwa

Mke mwema mtarajiwa

ELIFURAHA MAKOMBE

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
176
Reaction score
22
Habari za majukumu ndugu zangu,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume wa miaka 27,

Elimu ya shahada (degree) bado sijapata kazi,

Mchaga,mrefu,mweusi maji ya kunde,mkristo safi(lutherani),

Nipo Dar kwa sasa

Nahitaji mke mtarajiwa:

Awe na elimu ya stashahada na kuendelea,

Awe mrefu kiasi,mwenye kujiheshimu,

Awe tayari kucheki afya,mweupe kiasi asiye wakujicream,

Mnene kiasi,akubali kufata imani ya dini yngu,

Kabila litategemea mila na desturi za pande mbili(yangu na yake),

Vigezo vingine tutapeana.

May GOD be with us.

AMENI.

contact: 0715 406010
elly.makombe@gmail.com

Nipo serious,naomba ushirikiano ndugu zangu.
 
Elimu yako haijakukomboa,na kamwe utasota sana mtaani bila kazi.

Hii inadhihirisha umeshindwa kutongoza huko nje facebook,Tango n.k ambapo unawaona hao wenye sifa uzitakazo.

Hebu acha kujidharaulisha humu,wengi ni fake na ndio maana hata ID tutumizo ni fake pia.
 
makombe mbona unajidhalilisha huku kiasi hicho bwashee?
ondoa huu ujinga huku nenda kapige magoti umwombe mungu si umesema ni mkristo safi?huku kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari.
 
Elimu yako haijakukomboa,na kamwe utasota sana mtaani bila kazi.

Hii inadhihirisha umeshindwa kutongoza huko nje facebook,Tango n.k ambapo unawaona hao wenye sifa uzitakazo.

Hebu acha kujidharaulisha humu,wengi ni fake na ndio maana hata ID tutumizo ni fake pia.

Nnapiga tempo kwa sasa meku.
 
Elimu yako haijakukomboa,na kamwe utasota sana mtaani bila kazi.

Hii inadhihirisha umeshindwa kutongoza huko nje facebook,Tango n.k ambapo unawaona hao wenye sifa uzitakazo.

Hebu acha kujidharaulisha humu,wengi ni fake na ndio maana hata ID tutumizo ni fake pia.

He jamani hivi hilki ni jukwaa la nini? Mods hebu mtuifafanulie madhumuni ya kujweka jukwaa hili. I wish wahitaji wa Jukwaa hili ndio ambao wangekuwa wanaingia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom