Mke mwema mtarajiwa.

Mke mwema mtarajiwa.

ELIFURAHA MAKOMBE

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
176
Reaction score
22
Habari za wkend wana jf,Niliyekuwa namtarajia bado yupo mkoani na kanibore sana na sihitaji tena kuwa nae,nikiipogia cm working days mara npo busy,mida ya jioni mara nmechoka,wk ends mara mara nyingi nakuags busy,so ndugu zangu bado nahitaji mke mtarajiwa mwenye umri wowote wakuendana na nami bcs mim nnamiaka 27,akubali dini yangu yakikristo,awe mrefu kiasi,awe mweupe au wa maji ya kunde,awe dar es salaam,awe na elimu yakuweza kusaidiana kimaisha bcs mim nnastashahada ya banking and finance,awe huru kuchati na mimi,mim npo dar mbagala kuu.
mim n mrefu mweusi wa maji ya kunde.



contact:elly.makombe@gmail.com
0715 406010
 
una hela? na je utanipa hela?..unipe tu usiache? karibu Pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom