Nataka marafiki wa kike

Nataka marafiki wa kike

Joined
Apr 8, 2012
Posts
29
Reaction score
0
Natumaini hamujambo mabibi na mabwana so nilikuwa natafuta rafiki wa kike mwenye age 21 anaejielewa maana wengi wao wamekuwa hawajielewi na kuwa na tamaa ya vitu fulani ila kama unae mpenzi wako please usimuwache ninachotaka mm asiyekuwa na mchumba kama mimi ahsanteni
 
wewe una umri gani.? nenda Mars, wapo. binadamu wa kawaida design kama wamekushinda....
 
Back
Top Bottom