Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
mimi ni mdada wa miaka 23 natafuta mwanaume wa kunioa mwenye umri wa miaka kuanzia 4o~55 aliye tayari anipm xaxa ...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Mi ni kijana wa miaka 27 mrefu smart mwili wastan naish dar nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye umri ucopungua miaka 55 nimechoshwa na vijana wenzangu nitafurahi zaid nikipata wa maisha ya hali ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yawezekana ukaokota embe dodo chini ya muarubaini. Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo Mwenye heshima: Sikuambii uwe kama Mama Theresa, lakini unatakiwa uwe na heshima kwa watu katika namna ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa muddy,mjasiriamali,umri wangu 29,natafuta girl w kuoa n awe n sifa zifuatazo,upendo,mwaminifu,mtafutaji etc...pm me
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninasubiri kumpata mschana nitakaempenda na kumfikisha katika kilele cha furaha ya maisha yake.... Awe ni mschana mzuri mwenye kujiheshim na anaejitambua kimaisha...awe ni mpambanaji mzuri wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajf, Natafuta mchumba wa kike, Mimi ni kijana mfanyabiashara hivyo natafuta mchumba awe mfanyabiashara pia. Sifa zingine ni kama ifuatavyo 1.Umri usizidi miaka 26 2.Awe mzuri...
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Waungwana kimsingi nini ngunga sio mchezo...kwa sababu nyoka hachagui tundu... naomba mwenye huruma aje PM
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Unaelewa maana ya marafiki? Unaweza kuchati? Unajua kumshauri rafiki yako ahitajipo kushauriwa? asi karibu kwa hayo matatu, nne hili linawahusu watu wa chuga sana! makabila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Am a single boy from Sukuma Tribe with 26 aged, living Temeke Dsm. My education is University but non -employed so am dealing with my own Bussness! Na mi nakuja kwenu kumtafuta yule atakaekuwa...
0 Reactions
72 Replies
4K Views
Am looking for a man, gentle and smart one to be my boyfriend and if God wishes to spend together in life time, Am a girl 27 aged! He should range between 28-30 years old! He should be...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari zenu wana Love Connect, Before niliwahi kuituma hii reguest kwenye page ya MMU hapa JF lakin sikufanikiwa, Ni hivi... Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 32,naishi hapa Dar na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeishi maisha ya kupambana mwenyewe kwa muda sasa na kusababisha nifike nilipo leo hii. Nimekaa nikatafakari tafakari ya muda mrefu nikaona kwa kipindi hiki chote nilichoishi na kupigana...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nina miaka 25 mweupe mrefu kiasi na najiheshimu nahitaji tu company ya any beutiful girl Najiandaa kwenda kwa hotel fulani kupoteza mawazo week imeanza na stress my girlfriend kanitenda.
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Habari za saa hizi ndugu zangu,ni mara nyingi nmejitokeza hapa mtandaoni nkiomba npate mke mwema mtarajiwa through 0715 406010 but imeshindikana kumpata@naomba ushauri ndugu zangu ni njia ipi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yo! analogia hapa... Sex: Male Age: 20+ yrs Weight: 60+kgs Height: 5.8 ft Body size : Slim Color: Black ( sio black kama mjaluo) Nationality: Tanzanian Religion: Love ( born christian) Interest...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Am coming from far looking for a beautiful lady aging 20 to above. Am 30 old. She should be a christian. For more details just pm
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 - 35. kutoka mkoa wa iringa, mbeya na Rukwa aliye na nia wasiliana nami wasulwawenga@gmail.com au PM
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda niwe na msichana mpole,msikivu na msafi. Anayejitambua,mvumilivu,muelewa na mpambanaji. Anayejituma,mwenye ratiba,anayejali na kuniheshimu. Msomi au mwenye elimu ya dunia ,mchapakazi na...
1 Reactions
1 Replies
805 Views
Natafuta mwanamke kwa ajili ya kukatia kiuno walau mara tatu kwa wiki, Dhumuni ni kukata kiuno kwa sana maana sina mpango wa kuoa miaka ya karibuni. Mwanamke yeyote hata kama ni mke wa mtu...
1 Reactions
53 Replies
27K Views
Habari za sa hizi ndugu zangu,Bado sijampata mke mtarajiwa ndugu,my contact are:elly.makombe@gmail.com,0715 406010,contact 4 more datails but nipo dar mtoni kijichi.
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom