Nasaka mchumba

Nasaka mchumba

natafuta mchumba seriously guyz...anicheck knye 0719165399

Ni hatarii hii najua c muda hii namba utaifunga make zitapigwa simu nyingi ila hautapata ata mmoja! Kamwombe mungu for one uwe na maombi ya sirias ata kuja mchumba but utaelekezwa sehemu sahihi pa kukutan na mwenzio km ni hapa jf basi utarudi. Usipuuze fanya maombi ya ukweli ikibidi ufunge.
 
duh! leo mbona post za kutafuta wachumba zimejaa hapa jukwaani kulikoni?
 
duu!ndo we sista wa mikwanjaa!subiri mabosi watakufata,manake we nouma siku moja ya uchumba ushaomba laki,duu!
 
natafuta mchumba seriously guyz...anicheck knye 0719165399

wewe siku hizi tunatumia tigo pesa kujua wewe unaitwa nani. WEWE NI DUME. mtu yeyote anaetaka kumjua huyu afanye kama anatuma hela kwa tigo pesa..........
 
Ni hatarii hii najua c muda hii namba utaifunga make zitapigwa simu nyingi ila hautapata ata mmoja! Kamwombe mungu for one uwe na maombi ya sirias ata kuja mchumba but utaelekezwa sehemu sahihi pa kukutan na mwenzio km ni hapa jf basi utarudi. Usipuuze fanya maombi ya ukweli ikibidi ufunge.

dume hilo fanya kama unamtumia hela kwa tigo pesa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom