Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

TRUVADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,539
Reaction score
1,773
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mwajiriwa serikalin natafuta mke wa kuoa . Kwa sasa nipo mwanza kikazi

Sifa
Mwislam na mcha mungu
Umri 20-29
Kabila rangi sibagui
Elimu kuanzia form four na kuendelea


Kwa aliye serious tu tafadhali anaweza kuni PM nika toa namba yangu
Kuwa si liana kwenye email rehemaalfan@gmail.com

Inshallah
 
Una uhakika unataka mke? mke hatafutwi huku, huku utapata majibu sasa hivi kaa mkao wa kupokea majibu.
 
mbona hiyo email ina jina la kike,,ni yako kweli.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom