Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

PRINCE JOHN

Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
48
Reaction score
9
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa hizi:
i. Awe na umri wa miaka 18-22.

ii. Awe mkatoliki au aliyetayari kuhamia Roman Catholiki.

iii. Awe mrefu wa wastani

iv. Awe na elimu angalau kidato cha nne.

Aliyetayari anipm au anicheki kwa namba 0713633958.
 
Muwe mnaweka kwanza CV zenu, hao wachuba watajuaje Kama na ww vigezo unavyo.
 
Shikamoo...vipi utakuja kijijini kulima shamba ulilopewa na marehemu bibi? Maana mvua za kupandia karibia zianze!

Mbona nilishalima tangu mwezi wa 12 mwaka Jana, na mbegu nimemwaga nasubiri palizi mwezi wa 3.
 
Naona unahemkwa,
Jambo lililo baya kabisa ambalo unalifanya ni kuwa:-
UNATAFUTA MKE GIZANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom