Mi ni boy wa miaka 25 kutoka Arusha natafuta mpenzi wa kike aliyenizidi umri kutoka sehemu mbalimbali but Arusha is recommended.Kigezo kikubwa ni kua msichana huyo umri wake uwe umeanzia miaka 27 na kuendelea.
Yy kasemq nimuunganishe nae...unajua vijana waliozaliwa kuanzia 1988 ni lege lege sana, wengi wanaishiq kutafuta wanawake wazee wajane ili wawasaidie kujikimu kimaisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.