warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,466
Jamani nimeshapata mwandani wangu wa maisha, so heshima uko PM mambo ya kutumiana message mpaka saa nane za usiku mwisho, baby wangu ana wivu, najua mtachonga sana mie nshakufa nimeoza, tumeridhiana, nazijua kasoro zake naye anazijua zangu so mtuache hakuna aliye msafi, kuhusu harusi soon tutawajulisha, ahsante sana binamu yangu Dinazarde kwa kumpenda wifi yako na kumjali
Cc Dinazarde, mzurimie, Diva beyonce nifah Heaven on Earth, mamakibunju masai dada Madame B, Kimbley na wengine wote kujeni mumuone wifi yenu mpya.
Cc Dinazarde, mzurimie, Diva beyonce nifah Heaven on Earth, mamakibunju masai dada Madame B, Kimbley na wengine wote kujeni mumuone wifi yenu mpya.