Habari Wakuu,
Najitokeza kutafuta mke wakuoa, mimi ni mwanaume rijali naishi Dar. Sifa zangu situmii kilevi chochote. Ni maji ya kunde, mwenye umri wa miaka 32, sina mtoto.
Nimtafutae awe na miaka 24-34, awe mweupe, awe anajishughulisha na kazi yeyote mjasiriamal au mwajiriwa, asiwe na mtoto, elimu kuanzia Degree na kuendelea.
Kama upo serious na unahitaji la kuolewa karibu
Ni Pm weka namba yako