Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Skyblue

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
196
Reaction score
55
Nina miaka 28, Mnyakyusa, mrefu wastani nata msichana awe Msukuma. Maji ya kunde, mcha Mungu na awe na heshima na adabu na umri 25 kushuka.

Aliye tayari ani PM na nitamjibu
 
Nenda kaoe kwenu usukumani unakujua au unaona wasifu wao wa nje unavutiwa nao.
Kwenu unapafahamu madhaifu yote
 
Ndoa inatamaniwa kweli nyakati hizi
But its a sad reality, few of them keep it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom