Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

prince22

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
188
Reaction score
217
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu, akiwa ameokoka itakuwa vyema zaidi. Umri miaka 23 hadi miaka 27. Napenda awe mrefu akiwa mweupe itakuwa vyema zaidi. Awe anajitambua na anajiheshimu.

Mungu atakupa aliyekuandalia usiweke vigezoo vingii wakati wewe ulishaandaliwa wako ambaye yumkin sio mrefu kama unavyotaman nk.

jiulize milikuwaje Yakobo akaambiwa akaoe kwa mjombaye Laban? huko ndiko Mungu alikojua atapata mke/wake na uone jinsi ya Mungu yalivyo makubwa akampata lea na Rahel ingawa moyo wake ulikuwa kwa Rahel.

hakuishia hapo tu akampata na Zilpa na Bilha.

haya yote namaanisha hivi usimwekee Mungu mipaka hasa kama umenaza nae wewe mweleze shida yako basi wa rangi gani, kimo gani wajihi gani mwachie yeye
 
asante kwa ushauri mpendwa, lakn mbona sijaweka vigezo vingi?
 
Natafuta rafiki wa kike popote pale Tanzania, awe anajitambua, mcha mwenye hofu ya Mungu ndani yake. Awe ana miaka 24-27. Asiwe mfupi. Kuhusu mimi utanifahamu tukiwasiliana.

Nitumie PM
karibuni
 
Back
Top Bottom