scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
Natafuta rafiki wa jinsia yoyote lakini awe msomi mzuri na sio wa kubabaisha angalau ana degree na awe na intelectual ideas na mtafiti wa masuala mbali mbali.
kwanza wewe msomi ? ya pili wewe jinsia gani mbona hufahamiki? na ukweli wewe binafsi unaweza kutunza urafiki ?
tuliokwepa umande hatuhitajiki
natafuta raki wa jinsia yoyote lakini awe msomi mzuri na sio wa kubabaisha angalau ana degree na awe na intelectual ideas na mtafiti wa masuala mbali mbali.