Nahitaji kuwa na mwenza

Nahitaji kuwa na mwenza

umeongea kihuruma... jichambue basi wewe usisahahu kipengele cha pesa ....halafu chambua pia unataka mwenza wa aina gani?


usije pata mzigo
 
Sasa baba watoto mtarajiwa mbona naona namba za simu tu na namba za umri? Nilitegemea na digits zinazosoma kwenye account.
 
Matangazo Mafupi Ya Hvyo, Peleka Gazeti La 'RISASI',. Humu Unatakiwa Ujieleze Uko Vipi, Una Tatizo Gani, Maana Mke Unaemtaka Under35, Si Mchezo,. Maana Yake Tayari We Ni Mgane(umefiwa Na Mkeo).. Na Unaweza Kuwa Na 40yrs, Na Kuendelea,. Maombi Yako Hayajitoshelezi Binafsi Sijakuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom