Mrejesho: Natafuta girl friend

Mrejesho: Natafuta girl friend

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
6,532
Reaction score
11,028
Habari zenu wadau,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24..siku nne zilizopita nilipost thread ya kutafuta girl friend ambaye baadae tutakuwa wapenzi.

Ninashukuru kuwa nlifanikiwa kupata dada mmoja wa hapahapa iringa.lakini yule dada akadai kuwa yy anakidhi vigezo,hvo haina haja ya kuwa marafik badala yake tuwe wapenz,ingawa hata hatujaonana,japo alinitumia picha zake nami nkamtumia.

Hakika ni kifaaa, nami pia akanikubali cha kushangaza jana ndo ilikuwa siku ya kuonana il tufahamiane live but asubuh na mapema akanitext kuwa nmtumie kama lak hivi ili akasuke,pia atengeneze cm yake imeharibika,pia akadai anayotumia ni ya dada ake coz yeye anazo mbili mimi nikasema kuwa kwa sasa cna hela, labda tusubir mpaka mwisho wa mwezi.

Ila kwa sasa naweza msaidia tu 30, ambayo ntampa tutakavo onana ila sitaituma, yule dada akasema ameghair kuonana na mimi na hana mpango wa kuonana na mimi.

Nikamuuliza,kwa nini mpenzi wang,? Akanijb kuwa nikome kumuita mpenz na pia nifute no yake na mbaya zaid akazidi kuniponda kuwa simfai maana ni sawa na baba yake .

Mimi 24 yeye 20.nkamuambia kuwa nashkuru sana.

Hivo bas,bado namtafuta girl friend atayekiwa tayar anitumie contact zake kwa PM. Mimi ni mfanyakazi serikalini kada ya afya hapa mkoani Iringa.

Elimu yangu ni Diploma, hivyo namhitaji dada yeyote mwenye upendo wa dhati, ambaye baadae tutakuwa wapenzi Mungu akipenda.

Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na umri usiopungua 18-22.

Natanguliza shukurani.
 
hahahahaaa mipango-mji. Alipokuambia eti muitane/muwe wapenzi tu ata kabla ya kuonana, ulitakiwa uwe doubtful. Alipokuomba umtumie laki 1, instantly ulitakiwa kufuta namba yake na kumblock! Si ajabu huyo hayupo Iringa, na hizo picha alizokutumia ukazuzuka ( eti ''hakika ni kifaa'') sio zake yeye.

Pole mkuu, vizuri umekuwa makini hujakurupuka kuanza kukata mpunga kama Kyela. Hopefully kama ni mgeni wa mapenzi (ofcoz you so sound), hapo utakuwa umejifunza kitu, coz magwiji husema kwamba ''Experience is the best teacher''.

Kila lakheri kiongozi. Notably however, JF ni chaka nene lenye kiza totoro. So usijaribu kuvamia msitu kwa kiwembe!

-Kaveli-
 
Yani ni zaid ya nouma ndugu.ama kweli haya mapenz yatatuua
 
Nashkuru kwa mawazo yako mazur ndugu.yaan humu ni zaid ya msitu mnene
 
Heheee,bado mkuu.c unajua kupenda teena
 
Yaan zaid ya mambo The boss..
 
Kaka kada ya afya haonani na Wateja mojakwa moja? Mtaani je?
Jaribu na huko nako mkuu
 
Acha kabisa utakuja kujiunganisha na jini hivihivi huyo uliyekuwa unawasiliana nae ni mwanaume mwenzako na hajui utapeli bado ni bonge la mshamba ndio maana umebahatika kutotapeliwa.
 
Acha kabisa utakuja kujiunganisha na jini hivihivi huyo uliyekuwa unawasiliana nae ni mwanaume mwenzako na hajui utapeli bado ni bonge la mshamba ndio maana umebahatika kutotapeliwa.

Ahaa,nouma saana mkuu.hv ndo ilivyo kumbe
 
Yaani baada ya kusoma huu uzi nimegundua love connect kuna watu wanatumia fursa.....

Mtafutaji akiwa desparate tu "anapigwa"


Kabisa
halafu huyu angepigwa hata hiyo 30 yake
na kama mdada alikataa 30 aki insist laki basi anawapiga wengi sana...
 
Kma Ushamgundua Mtu Mbaya Humu, Unapaswa Kumuanika Watu Wamjue. Weka Jina, Weka Namba Na Weka Picha Za Huyo "Kifaa" Wako Watu Wamjue. Aache Utapeli!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom