Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,836
- 3,296
Umri wangu ni miaka 45 natafuta mwanamke wa kuishi nae umri kuanzia 30-36 kwa upande wa uchumi ..maisha yangu ni daraja la kati zaidi najishughurisha na kilimo ..napendelea awe mkristo hasa mlokole ...watu wa pwani na wacheza taarabu waipotezee thread hii ..aliye siriazi ani PM au atume msg kwny # 0784080304.