Natafuta marafiki Mwanza

Natafuta marafiki Mwanza

mchakamchaka2

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
115
Reaction score
54
Nimepata transfer ya kikazi mkoani Mwanza mi kwa asili yangu ni mgumu sana kutengeneza marafiki sababu ni mkimya hivyo kwa wenyeji hapa Mwanza jinsia zote ukiwa kijana wa -32 ni vizur zaidi naboreka sana.
 
Uko mwanza sehem gani mm niko meko nyakato Karibu sana ila uo umri sijafikisha
 
Nmepata transfer ya kikazi mkoani mwanza..mi kwa asili yangu ni mgumu sana kutengeneza marafiki sababu ni mkimya..hivyo kwa wenyeji hapa mwanza jinsia zote ukiwa kijana wa -32 ni vizur zaidi...naboreka sana.

Mimi niko nyakato mwananchi.wewe wapi makazi na wapi kazi?
 
Back
Top Bottom