MZALENDO NO.1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 302
- 134
Natafuta rafiki wa kike, mpole, mkweli, mwaminifu, sichagui dini, kabila, wala elimu yake, kama upo tayari ni pm ili tuweze kuwasiliana na kufahamiana zaidi. KARIBU
Acha kuzunguka mbuyu wewe. Sema unatafuta demu tu kiishe. Watu huku mnakuwaga na mbwembe nyiiingi, mngine utasikia chat friend wa kike, mara mngine utasikia rafiki wa kike. Mimi mpaka leo na mandevu yangu haya sijawahi kuona urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume.
Kwa hiyo jaribuni kuwa wawazi..... "we sema tu bana eeeeh nna ukame wa mda mrefu natafuta kipoozeo"
Busara za naantombe mushi