Natafuta kampani

Natafuta kampani

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,133
Reaction score
1,668
Habari bandugu
nitakuwa Brussels (Belgium) kwa miezi sita, natafuta kampany.
Uwe msichana au mwanamke, not above 35
karibu
 
Acha kuzunguka mbuyu wewe. Sema unatafuta demu tu kiishe. Watu huku mnakuwaga na mbwembe nyiiingi, mngine utasikia chat friend wa kike, mara mngine utasikia rafiki wa kike. Mimi mpaka leo na mandevu yangu haya sijawahi kuona urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume.

Kwa hiyo jaribuni kuwa wawazi..... "we sema tu bana eeeeh nna ukame wa mda mrefu natafuta kipoozeo"

Busara za naantombe mushi
 
Kwani we umeelewaje?
Kama unakidhi vigezo karibu tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom