Kichwa kipo sahihi nadhani.
Vigezo. Umri 18-22.
Shape; normal size not over size.
Urefu; not more than futi 6
Dini: yoyote ila sio ya kuamini mizimu...
Habari za humu,
Serious jamani nahitaji mtu ambaye anauhitaji wa kuwa na mke baada ya kuridhiana, awe anajielewa, asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara, miaka kuanzia 28-34 awe muislam.
Mimi ni...
Jamani mabinti wa jamvini aliyetayari ajitokeze. Mume nimejitokeza. Nina miaka 32 sibagui dini wala kabila umri mwisho miaka 45 sitaki chini ya miaka 30
Sent from my SM-G530H using JamiiForums...
Iam a 28 years old guy. Natafuta mchumba:
*Dini yoyote.
*Umri 20 na kuendelea.
*Rangi yoyote.
*Figure wastani.
*Elimu - Form 4 angalau.
*Awe anajua kuongea na kuandika kizungu japo kidogo.
* Awe...
Ndugu zangu nawasalimu kwa upendo mkubwa na ni imani yangu kuwa mmekuwa na siku njema kabsa,juzi nilikuja katika jukwaa hili nikaeleza hitaji langu la kupata mke wa kuoa na niwashukuru wale ambao...
Mimi ni kijana umri miaka 27, natafuta marafiki wabunifu ambao wako tayar kushirikiana n mimi katika kubadilishana mawaz na uzoefu katika maswala ya kijasiliamal .
sending using jamiiforum makinikia
Habari zenu wanajamvi,bilashaka mmekuwa na jpili iliyonjema kabsa.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35,ni daktari wa binadamu na naishi dar na nimebahatika kupata watoto wawili ambao nawapenda...
Naitwa Paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wa kuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayari kuoa.
Tafadhali hii ni muhusika...
Nasikitishwa sana Na watu wanaokuja humu Na kushangaa.wanaosaka wachumba humu.
Leo napenda kuwatia moyo wote wanaokatishwa tamaa Na watu wachache.
Maneno yao Ni kama 'hivi umekosa...
Wandugu, nimejitokeza kumtafuta mchumba (mke) humu JF ili tuyaenzi maisha na kutekeleza maandiko ya mwenyezi Mungu. wasifu wangu ni;-
mweusi,
mrefu almost futi 6 na point kadhaa
Nimeelimika and...
Mimi ni kijana wa kiume. Nina umri wa miaka 21 Ninatafuta rafiki wa kike[16~19] ambaye tutakuwa tunashirikiana na kubadilishana mambo mbalimbali hasa masomo kwa ujumla.Tutakuwa tuna wasiliana...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye miaka 29 sijawahi kuwa na mchumba wala sijawahi fanya mapenzi natafuta binti awe mpenzi wangu baadae nioe awe na miaka 18-24 kabila lolote Dino yoyote...
Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.
Asiwe...
Umri 22-25 elimu ya Sekondari na kuendelea umbile awe mrefu, mweupe na umbo la wastani mwenye 'wowowo'
Kabila Mchaga, Msukuma au Mmasai.
Niko Dar es saalam ni Mkristo, umri wangu miaka 35...
Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.