Kama inavyojieleza ninahitaji muwekezaji makini awekeze pendo katika moyo wangu ili tupate faida pamoja, mimi ni me mfanyakazi niko Dar.
Age early 30s. Yeye mfanyakazi awe mtu makini ambae...
Wapendwa salamu nyingi sana. Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi wa kutwa nzima ya leo.
Jamani mwenzenu safari yangu bado sijafanikiwa kupata mke japo hivyo pls kwa wadada ambao mpo...
Anahitajika mke mwenye elimu ya degree na kuendelea aliyetayari kuanzisha familia na awe mcha Mungu wa dini ya kiislam,umri miaka 23-25,umri wang ni miaka 32 ni mtumish wa uma kwa aliye serious...
Wadau habari ya Siku ya Leo.. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni Kijana kati ya miaka 27 na 30. Naishi mwanza mjini mjini. Wilaya ya ilemela.
Nahitaji mpenzi wa kike kwa ajiri ya...
Wadau nahitaji kuoa sasa.
Umri umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji kuanzisha familia.
Nina 28 yrs naomba mdada aliye tayari na serious ani Pm.
Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio...
Wakuu habari yenu
Mm kwa jina naitwa David Denis. Ni graduate enginner . Natafuta mke/mchumba awe chini ya miaka 24. Aliyeko tayari anitafute inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa
Age 21 hadi 32
Mrefu, white kidogo awe na umbo namba 8
Awe anafanya kazi muajiriwa au mfanyabiashara
Sifa zangu mimi
Age 28, mrefu futi 6, chocklet colour sio maji ya kunde sio mweusi...
Niko seriosy nataka mke wa kuoa, nina miaka 32 kazi yangu mwalimu natafuta mke wa kuoa nimechoka kukaa hivi.
Vigezo;
1.Muislam atakae weza kumcha muumba wake kwa kuswali na mambo mengine
2.Umri...
Habar wana jf, Mimi ni mtanzania halisi najitokeza Kwa mara ya kwanza kutafuta mke Wa kuoa.
Jina : Deric Mabala
Umri wangu : 34
Kabila langu : Mbende
Mahali napoishi :Dar es salaam
Elimu yangu...
Naitwa Baraka umri miaka 27 mkazi wa kitunda hapaDar, nahitaji mpenzi umbo lolote ila asiwe mwembamba sana awe mnene wa wastani na awe mkweli na mwelewa, kwa aliyetayari tutafutane kwa namba hii...
Nisaidieni jamani huyu ni mwaminivu au natapeliwa kimapenzi?yaani mpenzi wangu nikiwa Naye kupeana jamboz tukimaliza tu pesa ukimpa 20000 analalamika bila kushukuru na anakwambia kesho unipe tena...
Mimi ni mwanaume, nina miaka 31. Ninatafuta Mwanamke wa kuoa. Umri 24 hadi 27, Mkristo. Kama upo serious, ni pm. Kejeli sitaki! NB; Post inawahusu wanawake tu; mwanaume usiandike chochote hapa
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta msichana ambae ni mpweke na mwenye upendo wa kweli anayetafuta utulivu wa nafsi na mwenye tabia ya kupendeza, hofu ya Mungu na...
Hello wanajamvini.
Tusaidianeni mawazo wakubwa,mke mwema ni yupi na anatabia gani maana wengi ndiyo wanamapenzi sio tatizo na nijitolee mfano mimi,nna nyota ya kupendwa na wanawake wengi na...
Habari za majukumu wana JF,
Mimi ni kijana 28 yrs naishi TMK. Natafuta mdada atakae kuwa tayari kunipenda na kutekeleza plan ambazo tutazipanga kama partners.
Sifa;
Umri miaka 18 hadi 26.
Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.