Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hello Bila shaka mko poa! Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja! Umri : 28 Mwanachuo mwaka wa tatu...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Natafuta rafiki, awe msomi degree na kuendelea, rangi yoyote na umbo lolote kabila lolote miaka yoyote, Sihitaji mchumba wala girlfriend narudia tena ni rafiki tu wa kubadilishana mawazo na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Morning Jf! Kuna mdogo wangu kampenda sana bint mrembo chuchu kama mdoli kwao watata jamaa nae mipango ya ajira bado haijakamilika. Anahofia kipindi cha kusubiria atapokonywa kwa urembo wake hata...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu natafuta mchumba wa kuoa ambaye anasoma Chuo cha Ualimu Tabora ama Chuo Cha Uhazili Tabora aliyetayari kuolewa na asiyejali masuala ya uke wenza. Sifa za nwanamke huyo: -Umri kati ya 20...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hellow, najitokeza Kwa Mara ya kwanza kutafuta mke wa Kuoa.Kwajina naitwa Johnson mwenye Umri wa miaka 35,dini yangu ni mkristu (RC), rangi na muonekano wangu ni mweusi, urefu na unene niwa...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Nina miaka 26 Naishi magomeni mwembe chai Msichana yoyote alie single aje tujenge maushano mpaka tufika juu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri, umri kuanzia miaka 30, Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha. Awe mkristo, ila asiwe mlokole, Awe na upendo wa kweli...
19 Reactions
355 Replies
26K Views
Kama jina linavyojieleza mimi ni msichana mrembo sana nipo Dar es Salam napenda sana kujifunza hasa kutoka kwa critical thinkers! Nafahamu yakuwa kuwa curious kuna negative na positive outcomes...
8 Reactions
96 Replies
7K Views
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli. ni PM tafadhali.
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Mimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea. Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza. Awe mcheshi ila sio kuzidi. Awe na kazi nzuri...
2 Reactions
97 Replies
8K Views
Habari za masiku wakuu wa jamvi, Hapo kipindi cha nyuma nilipost Uzi wa kutaka mwenza ambae ni single mother japo ulifutwa Mara mbili. Hakika kila jambo lenye kheri na lenye tija linamafanikio...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana JF . Kuna hii tabia ya akina wadada ambao akitaka kuja kwako kama mpo mkoa tofauti lazima atadai nauli ya kurudia mkoani kwake. Hvi najiuliza alipokuja kwani alijua anakaa maisha au...
0 Reactions
8 Replies
927 Views
Kitaaluma ni mkufunzi na nina umri wa 30 years, nahitaji mwanamke aliyetayari kuishi nami kwenye shida na raha atleast awe na 23 years and above .Kigezo kikubwa awe mpole mstaarabu .Uzuri ni kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania nimeajiliwa nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo - umri 21- 30 -Muajiliwa -mkristo -Asiwe mfupi -awe white au maji ya kunde -Asiwe mnene sana au mwembamba sana...
1 Reactions
2 Replies
863 Views
Habari wakuu. Nina miaka 41, niko Dar, mkristo (kkkt) na sina mtoto. Nina ulemavu wa mkono mmoja, nimeajiriwa serikalini. Nahitaji mke mwenye hofu ya Mungu wa kuishi nami. Ambaye yupo serious...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za mida wana Jf Mimi ni mwanaume alie timia sifa za kiume ninatafta mpenzi anae jitambua awe ni mkazi Wa kunduchi/tegeta ila awe anajitambua asiwe mdangaji Sifa za mtaftaji By professional...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
-am 24 -black in colour -slim -nakaa dsm i need a man who is -24 and above - anaekaa dsm i need a serious man jamani... wale wa hit n run dont even bother cause u'll be wasting your time...
14 Reactions
54 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 27. Naish Dar napia nimeajiliwa nimeajiliwa katika kampuni moja wapo kubwa hapa nchini. Natafuta mke mwenye umri wa miaka kati ya 20 hadi 25, awe ,weupe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mke HIV+ urefu wangu ni cm 165 au futi 5.4 ni mfanyabiashara na sijaanza ARV's sababu CD 4 bado zipo juu nimeupata ivi karibuni. Vigezo ni; 1. Awe maji ya...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Tafadhari sana kama unamanisha kutafuta mume naomba uni pm tujadili ,umiri wowote kutoka 20-35 mengine tutazungumza, elimu yangu ni degree 1 nimwajiriwa wa serikali,karibu.narudia mimi nipo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom