Shukurani za dhati, nimepata mwenza

candiasis

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
372
437
Habari za masiku wakuu wa jamvi,

Hapo kipindi cha nyuma nilipost Uzi wa kutaka mwenza ambae ni single mother japo ulifutwa Mara mbili. Hakika kila jambo lenye kheri na lenye tija linamafanikio ndani yake na asieshukuru katika hayo atakuwa ni mkosefu.

Namshukuru Mungu amenipa njia na mwangaza katika hilo nashukuru wote walioniombea katika hilo. Siwezi kusema ni nani au yupi ila namshukuru Mungu kwa kunipa na nimekipokea.

Kuna siku kila mtu atafurahi na itakuwa sehemu ya furaha kwa wana JF wote.

ASANTENI SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE.
 
Habari za masiku wakuu wa jamvi.hapo kipind cha nyuma nilipost Uzi wa kutaka mwenza ambae ni single mother japo ulifutwa Mara mbili.

Hakika kila jambo lenye kheri na lenye tija linamafanikio ndani yake.na asieshukuru katika hayo atakuwa ni mkosefu.

Namshukuru mungu amenipa njia na mwangaza katika hilo nashukuru wote walio niombea katika hilo.siwez kusema ni nani au yupi ila namshukuru mungu kwa kunipa na nimekipokea.

Kuna siku kila mtu atafrah na itakuwa sehemu ya furaha kwa wana jf wote.

ASANTENI SANA NDUGU JAMAAA NA MARAFIKI WOTE.
Sijakuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom