Mimi ni kijana wa kiume,ninaemani katika urafiki na marafiki kuwa ni watu muhimu san na Maisha ni watu na watu ndo maisha.ningependa kupata marafiki wa kike wa faida,tujumuike katika kupambana na...
Habari za jmosi ya leo tarehe 23 wandugu
Kuna dada anamahipsi na chura wa haja halafu kiuno chembamba sana nimekutana naye sasa hv mbaya zaidi kavaa dela halafu linaonyesha ndani na chupi hana...
heeh!
Girls please nakutafuta uwe n elemu si chini ya form four working or self employed kiufupi uwe smart kwa kichwa kuliko mwonekano wako ukiwa mzuri na smarat kichwani majaliwa, but above all...
Habari wanabodi.
Mimi ni kijana wa miaka 26 Mwenye Elimu kwa Ngazi ya Degree, Ndio Kwanza nipo kwenye ajira yangu ya pili.
Najitokeza kutafuta msichana kwa ajili ya uchumba ili tuje kuoana...
Habari zenu ndugu wa jamii forum.
Matumaini yangu ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kujenga taifa ingawa Vyuma Vimekaza.
Twende moja kwa moja kwenye Maada husika...
Habari!!mm Ni wanaume wa Miaka Kati ya 45 na 50 nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa.
Awe MWEMBAMBA MWEUPE na MREFU
Naomba tuwasiliane kwa:simu 0755 521 487
Email address...
Kama uzi unavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 25 ni mwanafunzi nipo chuo mwaka wa 3.. Nitarajia kumaliza mwakani mwezi wa 7 kwetu kabisa mkoa wa mtwara Nina.. Msukumo mkubwa Sana baada ya...
Mambo zenu mi ni mwanamke umri 23 yrs elimu form 4 tu ni muuguzi natafuta rafiki wa kawaida tu kwaajili ya kubadilishana mawazo ila awe Mzungu kutoka nchi za Ulaya
Wale wa-Italy watapewa...
Kama title inavyojieleza guys i real real seek for a girlfriend
>>Age asizidi 26yrs
>>dini yeyote
>>mostly romantic na kama upo Dar es salaam it'll be so nice
mimi ni mwanachuo chuo flani Dar...
Kama title inavyobonga.<br />Mi ni me bwana we siku hyo nimetoka kushugulikia gar langu kwa fundi kuhusu mambo ya regetor ghafla nikaona text. Beib umekula? Nikajiwazia nikasema huyu mwanamke anae...
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke.
-Nina miaka 27
-yeye awe na 27 kurudi nyuma
-awe na elimu kuanzia na diploma
-dini awe muislamu.
Aliye tayari ani pm.
Ndoa zimekuwa ngumu waume Na wake Wema wanapatikana kwa shida sana.Sasa kwanini humu mtu asiseme natafuta mtu ambaye ana kwake lakini angalau awe anakuja kunitimizia mahitaji ya kindoa japo...
Habari zenu ndg ! natafuta mwanamke wa kuoa umri kuanzia miaka 23 na kuendelea sichagui dini wala kabila ila lazima awe mikoa ya mwanza mara shy na dodoma hata uwe na mtt usiogope nafanya kazi...
Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo...
Walijitokeza wasichana karibia wanne kule PM, nilifanikiwa kuonana na mmoja infact ni mwanafunzi ila hakuwa serious kabisa within two days alishaonesha...
Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
Asiwe mnene sana na mwembambamba sana
Awe wa kawaidaa na asiwe wa...
Hamjambo humu
Kwa dada aliye free kuanzisha mahusiano let see if tunaweza kuwa
Uwe Dar most preferred, umri 25 na kuendelea..
elimu form Four au zaidi na uwe tayari kupima HIV
Nawasilisha na karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.