Natafuta mchumba Bikra(ke)

Mambo vp? Hapa nilipo nipo Single ..nina miaka 25yrs natafuta mchumba wa kuoa.
Huyo bibie nataka awe na miaka 19-21...awe na sura nzuri...awe mkristo...Nina kazi yangu nzuri tu nimeajiliwa kwa hiyo usiwaze nitaishije naww...Naahidi kukuoa kwa ndoa ya Kanisani endapo kweli nitathibitisha uko na Bikra yako...Mimi mie natoka Kahama-Shinyanga 0765 626 871
utasubiri mpk yesu arudi
 
Khaa... Hii kali sana ila hili ndio ndoto ya wanaume wengi
With any luck unaweza ukapata lakini... Umri wa miaka 19-20 ni umri mbaya wa kuingia kwenye ndoa HASA YA KIKRISTO!
Kumbuka huyu hajaona mengi ya dunia
Kumbuka huyu hajaonja ladha tofauti tofauti za zakari
Kumbuka huyu atakuwa hana uzoefu wowote na mapenzi (shida na raha zake)
Kumbuka atakuwa na furaha sana ya kupata mume lakini sio guarantee ya kukupenda kwa dhati
Kumbuka kuna first love experience... Kupenda bila sababu (haya ni mapenzi mabaya kabisa) na inaweza kumtokea mmoja wenu, hasa yeye katikati ya ndoa... Usiombee hii kitu...

Ndoa ni gereza la hiari la mapenzi... Pata mfungwa aliyemaliza kifungo ama mtuhumiwa aliyekaa mahabusu... Huyu hatakusumbua
 
Nimekuelewa sana ndugu...Ahsanteh
 
Mikoani kwenyewe Watoto bikes zinatoka wakiwa na miaka9,10 na kuendelea jipe moyo utapata za kichina zimejaa kibao yaaan hata Kama anawatoto huez jua inarudi
 
Kuna mambo haya

Either awe mtu wa dini sanaaa yaaan amelelewa ktk dini balaaaa kiasi kwamba anahisi atakufa siku akifanya ngono.

Au Ni bikra kwa sababu ana bongeeeeee la tatizo linalomfanya aendelee kua ivo alivo.

Zama zimebadilika sana, kukuta binti bikra ,nilazima ujiulize mara mbili mbili .
 
Utakae mtest wa kwanza kwako na ukagundua kuwa hakuna Bikra ujue na wewe tayari sio Bikra. Hivyo hautakuwa na sifa kutunikiwa hiyo kitu.
 
Kuna bikra feki pia(cjui wanatumia limao sina hakika nilipata kusikia ),hilo pia ulitambue na kulizingatia
 
Utampata mkuu ila kumjua mwenye nayo orignal ndio inaweza kuwa kazi maana kuna zile bikra za mfupi yaani disposable
 
Hahhaa huyu anatokea kule kule kanda ya muheshimiwa ndo zao hao...karibu mjini mashauri huku bikra znatoka miaka 12 Mwangarukaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom